Advertisements

Wednesday, July 1, 2015

VIKWANGUA ANGA MJI WA RALEIGH, NORTH CAROLINA

Vikwangua anga vya mji wa Raleigh jimbo la North Carolina vinavyoonekana tokea mbali unapoelekea downtown. Raleigh ndio mji mkuu wa North Carolina wenye wakaazi 405,000. Raleigh ni mji wa pili kwa ukubwa wa kwanza ukiwa Charlotte.. Miji hii hujulikana kama The Triangle inayojumisha miji ya Durham na Chapel Hill yenye jumla ya wakaazi 1.1 milioni.
Vingwangua anga downtown Raleigh, NC.
Mitaani jiji la Raleigh, NC

No comments: