Wahuni wa ccm hawataacha kukupigia kura. Na wakubwa wa ccm watakuangukia upite. CCM imejaa uhuni tu siyo kwa lengo la kuongoza nchi ifanikiwe!! Kweli huyu mwanamke wa aina hii Mbunge!!
Yaani ccm bwana sijui nikiite chama .......... kweli chama kimeingilia hata hao pia mmm
ukistaajabu ya musa utaona ya firauni hata huyu malaya pia jamani kweli hiki chama kimekosa dira na mwelekeo kabisa
kwanza hivi viti maalum nini na vinasaidia nini na vina faida gani au nikujaza tu watu mnaowataka hapo bungeni, wala hela za wananchi za bure
Post a Comment
4 comments: