

Wanachama wa Chadema wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe wakiandamana kupinga maamuzi ya chama hicho kukata jina la mshindi wa kura za maoni na kumteua aliyeshindwa ,mbali ya kuandamana pia wanachama hao zaidi ya 500 walikihama chama hicho na kujiunga na ACT Wazalendo
Wanachama wa Chadema waliohamia ACT wazalendo wakiwa na mabango ya kukituhumu chama hicho kwa kukiuka Demokrasia

Kadi zikiwa zimekusanywa kwa kuchomwa moto


Hivi ndivyo kadi zinavyoteketezwa kwa moto baada ya wana Chadema kujiengua na chama hicho na kujiunga na ACT wazalendo

Hasira za kukatwa kwa mshindi wa kura za maoni Ludewa

wana chadema wakiwa na mabango
wanachadema wakijiandaa kwa maaandamano ya amani kujiengua na Chadema na kujiunga ACT wazalendo

Mwanzo wa maandamano ya kujiengua na Chadema
![]() |
| Bango likimtaka aliyeteuliwa na chama kwenda kugombea jimbo la Hai kwa Mbowe |
![]() |
| Tuhuma dhidi ya Chadema Taifa |
![]() |
| Wanachadema katika maandamano ya kupinga mshindi kutemwa |
Wanachadema waliojiengua na kujiunga na ACT wazalendo wakiwa nje ya ofisi ya Chadema wilaya ya Ludewa
barua ya tuhuma za mteuliwa kutoa ahadi ya rushwa hii hapa

barua ikionyeshwa kwa wanahabari na wanachadema
Wanachadema wakiwa nje ya ofisi ya chama wilaya walikokwenda kurudisha kadi kabla ya kuhamia ACT wazalendo

Aliyekuwa mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Ludewa akionyesha kadi ya ACT wazalendo

Aliyeenguliwa Bw Haule akiwapongeza wana Chadema kwa kuhamia pamoja ACT wazalendo

Wanachadema wakirudisha kadi za chamna hicho na kujiunga na ACT wazalendo

Baadhi ya nguo na kadi zikiandaliwa kuchomwa moto

katibu wa ACT wazalendo Ludewa Alfred Ulaya akionyesha kadi za Chadema

Wanachadema wakijipata kuhamia ACT wazalendo
Mabango ya kuagana na Chadema kwa wana Ludewa



Bango likionyesha Chadema kura za Chadema Urais X ,Ubunge X na udiwani X huku likimaliza kwa kusema msituchagulie
Mwanachama wa Chadema akiongea kwa jazba juu ya hali ya mambo ndani ya Chadema kabla ya kujiunga na ACT wazalendo
![]() |
| Ofisi ya Chadema wilaya ikiwa imefungwa wakati wanachadema walipofika kurudisha kadi zao |
Kadi ya ACT baada ya kuhama Chadema
Makada wapya wa ACT kutoka Chadema
Aliyekuwa mshindi wa kura za maoni akionyesha barua nyenye siri nzito za mteuliwa kununua nafasi hiyo
Bw Haule akijiandaa kuchoma moto vifaa vyake vya Chadema kabla ya kujiunga na ACT wazalendo
......


















2 comments:
This is just a tiny drop of water in the ocean. It won't make any difference. Sorry ccm for your tiny celebration. Ni mbele kwa mbele. Uzi ni ule ule ccm to be voted out from every angle.
Kusambaratika kwa Chadema baada ya kushindwa uchaguzi hakuepukiki.
Post a Comment