ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 24, 2015

DK MAGUFULI AHAMISHIA MAFURIKO YA KAMPENI ZA CCM MKOANI KATAVI

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
 Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
 Sehemu ya umati wa wananchi  wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli (kulia)  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi

Sehemu ya umati wa wananchi  wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli (kulia)  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi
 Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Katumba , mkoani Katavi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Dk. Magufuli akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Majalila, wilayani Mpanda, ambapo aliahidi kujenga barabara ya Mpanda Kigoma kwa kiwango cha lami enedapo wananchi wakimchagua.
 Mzee akifurahia hotuba ya Mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Dk. John Magifuli katika Kijiji cha Vikonge aliposimama kwa muda kuwasalimia wananchi  akielekea Kata ya Mishimo kufanya kampeni wilayani Mpanda, Katavi leo.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia kabla ya kumtambulisha Mgombea urais wa Tanzania Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Mishimo, Mpanda mkoani Katavi leo.
 Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Mishimo Mpanda

 Sehemu ya umati wa wananchi  wakimsikiliza Dk John Magufuli katika Kata ya Mishimo
 Dk Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Mishimo ambapo aliahidi kuunda baraza litakalofanya kazi zaidi ya yeye. Pia ataanziasha Mahakama ya Wala rushwa na Mafiusadi
 Wakazi wa Kata ya Katumba, wilayani Nsimbo, Mkoa wa Katavi wakishangilia kwa furaha walipomuona Dk Magufuli akitambulishwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimtambulisha Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata ya  Katumba, wilayani Nsimbo

 Dk. Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Azimio  mjini Mpanda leo
 Ni furaha iliyoje kwa wananchi wakati Dk. Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Mpanda leo
Dk. Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kabla ya kupanda jukwaani kuhutubia mjini Mpanda leo

3 comments:

Anonymous said...

Hongera sana Dk. Magufuli, BWANA MUNGU aliyeziumba mbingu na nchi akubariki sana na kukuwezesha kuyatenda yale yote uliyoayaahidi, kwa kuwa tunakwenda kukukabidhi nchi Oktoba 2015. Tunahitaji kuona baraza lenye watu wachapa kazi na waadilifu akina Dk. Mwakyembe ili wananchi turudishe imani yetu kwa taifa letu.

Hatutarajii kuona sura kama akina Ngereja, Lowassa, Chenge na kina Rostam Azizi. Watz tuna imani na wewe, wasije wakaturichmond tena.

Hatuwezi kuwakabidhi nchi yetu mafisadi papa akina Lowassa, Mbowe, Lissu, Chenge na Mbatia. Tumechoka na makapi, na hatuwezi kula matapishi yetu kama walivyofanya CHADEMA.

Anonymous said...

Hana mpango huu msumkuma kutoka chato mnawajuwa wasukuma wapinzani original lakini si chato
Matapeli wa almasi hao

Anonymous said...

Haswa! Mungu ibariki Tanzania