ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 24, 2015

SKOFU WA KANISA LA FPCT AMSIMIKA JOSEPH NGEDE KUWA ASKOFU WA JIMBO LA DODOMA

 Wachungaji wa kanisa la Free Pentecoste Chuch Tanzania [FPCT] wakiwaombea wakinamama waliosimikwa rasmi kuwa viongozi wa wanawake wa jimbo la Dodoma.
 Askofu wa kanisa la FPCT nchini David Batenzi akiwaongoza wachungaji wa kanisa hilo kumuombea Askofu wa jimbo la Dodoma Joseph Ngede na Mke wake wakati walipokuwa wanasimikwa kwa ajili ya kazi hiyo.
 Askofu wa kanisa la FPCT nchini David Batenzi akiwaombea waumini wa kanisa hilo wakati wa kuzimikwa kwa askofu wa jimbo la Dodoma
Baadhi ya waumini wakiimba kwa upendo wakati wa kusimikwa kwa Askofu mpya wa jimbo la Dodoma
 
 Viongozi pamoja na waumini wakifuatilia kinachoendelea wakati wa kusimikwa kwa Askofu mpya wa jimbo la Dodoma.
 Waimbaji wa Kwaya ya FPCT  Mpwapwa wakiimba wakati wa sherehe za kuwasimika viongozi wa kanisa hilo jimbo la Dodoma jana.
   Waimbaji wa nyimbo za injili wakitumbuiza katika sherehe hizo
Picha ya pamoja

No comments: