Advertisements

Sunday, August 23, 2015

DMV YAIBAMIZA VITAMBI 3-2

Timu ya Tanzania DMV siku ya Jumamosi Aug 22, 2015 ilicheza mechi ya kujipima nguvu ya kirafiki iliyochezwa Meadowbrook park. Wachezaji walioipatia ushindi Tanzania DMV alikua Saidi Mwamende, Peter Kuringe na Seif Ndossa.
 Timu ya Kenya Vitambi
Timu ya Tanzania DMV
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



1 comment:

Anonymous said...

Hongereni Sana..����...mkicheza wenyewe mnashinda....Majeshi mnachapwa...I hope Lucas na Jabir... mnaelewa....Timu hipo Sana...