Advertisements

Sunday, August 9, 2015

JE UNAMKUMBUKA DJ TNT JACKSON

Tito Kalumanga aka Dj TNT Jackson, Dj wa  enzihizo Msasani Beach Club ambaye kwa sasa anaishi Connecticut nchini Marekani akiwa kwenye picha kama alivyokutwa akiwa jijini New York na kamera ya Vijimambo.

Dj TNT Jackson akipata ukodak na mashabiki zake kutoka kushoto ni Bwn. Edwin Waluye, na Mkuu wa Wilaya ya Springfieled, Massachusetts, Bwn. Isaac Kibodya

Dj TNT Jackosn akipata ukodak moment na mashabiki zake kutoka kushoto ni Peter Luangisa, Mr Mayor wa Massachusetts, Biwi Malima na Dj Bilal wa New York

1 comment:

Anonymous said...

Tito Kalumanga huyo, mgoni mtupu!