ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 26, 2015

Karibuni Sana Wapendwa Wote


Img3.jpg

Mnakaribishwa sana
kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
kuombeana mafanikio kazini na shuleni.

Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la
Mtakatifu Edward (St Edward Parish)

901 Poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,

Jumapili Tarehe 30 Aug 2015.
Saa nane kamili mchana (2:00 PM).

Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha
ndugu, marafiki na jamaa zako.

Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano
ya barua pepe anwani.

Kwa niaba ya Fr. Honest Munish ni katibu Dani Steven

Wenye mitandao ya mawasiliano, pokeeni shukrani zetu za dhati kwa huduma zenu bora kwa jamii.

No comments: