Meneja Masoko wa Mfuko wa LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia)
akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama barabarani kanda maalum,ACP
Peter Sima (kushoto), hundi ya thamani ya million tatu walizotoa kwa ajili yakusaidia vifaa kwa
ajili ya wiki ya nenda kwa usalama wanaishuhudia ni mwenyekiti wa kamati hiyo
Elifadhili Mgonja (wapili kushoto) na Ofisa Masoko wa Mfuko huo, Rehema Mkamba.
Katibu wa Kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Peter Sima, akizungumza katika mkutano huo.
Meneja Masoko wa Mfuko wa LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule, akizungumza wakati wa kutoa mchango huo. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
No comments:
Post a Comment