ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 26, 2015

MAMA SAMIA ANG'ARA KILIMANJARO NA ARUSHA

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM, uliofanyika leo katika stendi ya daladala maarufu kwa jina la Samunge, jijini Arusha leo

 Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo jijini Arusha leo
 Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Ummy Mwalimu akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo jijini Arusha
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Hawa Ghasia, akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo jijini Arusha
 Mbunge wa Afrika Mashariki, Angela Kizigha, akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo jijini Arusha
 Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda Kijiko, akimuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo jijini Arusha
 Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika jijini Arusha leo
 Wananchi wakiwa na bango wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jijini Arusha leo
 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika jijini Arusha leo
 Wananchi wakiwa na bago la kuonyesha imani kwa mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassani, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo jijini Arusha.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akipokea kadi ya CUF kutoka kwa kada wa Chama hicho Sheikh Khalid Abubakar, aliyeamua kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo jijini Arusha.
 Wananchi wakiwa na bango la kiutakia ushindi CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM, uliofayika leo Usa River, Arumeru mkoani Arusha leo
  Msafara wa Mgombea Mwenza wa Rais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, ukiwa njiani mkoani Arusha leo kuendelea na kampeni mkoani.
 Wananchi wakimlaki kwa furaha mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro.
  Kijana katika jimbo la Hai, Kilimanjaro akishangilia kiaina, Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, alipowasili kwenye mkutano huo.
 Kina mama wakijimwayamwaya kumkaribisha Mama Samia kuhutubia mkutano wa hadhara leo katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, Danstan Mallya katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Hai, Machame mkoani Kilimanjaro, leo
 Kinamama wakimlaki Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili katika kuhutubia mkutano wa hadhara katika Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro leo.
 Kinamama wakimlaki Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili katika kuhutubia mkutano wa hadhara katika Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro leo
Mgombea ubunge jimbo la Siha kwa tiketi ya CCM, Aggrey Mwanri akimwaga sera, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM wa Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika jimbo hilo leo
 KIMBUNGA: Baadhi ya wananchiwaliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mgombea Mwenza a Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, katika kijiji cha Oloiwa, Kata ya Donyomorwa, Jimbo la Siha, wakijaribu kukifukuza kwa vidole kimbunga kipite nje ya mkutano, baada ya kimbunga hicho kilichoambatana na vumbi kali, kutokea ghafla wakati mkutano huo ukiendelea.
 Kinana Mama wakimtuza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Oloiwa, jimbo la Siha leo
 Mgmbea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi mgombea ubunge jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro, Aggrey Mwanri katika mkutano huo leo
 Wananchi wa Usa River wakiwa wamejipanga kandoni mwa barabara, kumlaki Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika eneo hilo la Usa River Arumeru mkoani Arusha leo
 
 Wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo wa Usa River, Arumeru Mashariki mkoani Arusha leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi leo katika Viwanja vya Usa River, jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

4 comments:

Anonymous said...

Kweli ccm mtaishia kufukuza vimbunga na vidole, ndio maana nchi haiendelei kama watawala wametoka kwenye imani kama hizi wengi wao sio wasomi inabidi kwanza mjielimishe nini kinachosababisha kimbunga halaafu ndio mkaombe kura namna hii nchi inarudi zama za mawe badala ya kiingia kwenye karne ya sayansi na teknologia kweli tumiisha

Anonymous said...

Samia asante wewe ni mwiba mchungu unaokuja kwa maisha ya waTanzania hakuna jipya ndani ya maadili ya chama hii tawala..Mungu isaidie TZ kupata aliye msaada.

Anonymous said...

Kwa kweli ccm wamafanya good move ya kumuweka huyu mama ili wakombe kura zote za wanawake lakini watanzania wa sasa si wajanaaa na juzi.

na mbona rombo na same hawajasema walivyozomewa.

tusubiri kwenye boksi kama hawajachakachuka kama katiba.

Anonymous said...

Duh! Hao watu wote wametokea wapi? Mbona mimi sikuona watu wote hao? Kama walikuwa wengi labda 80 tu!