Advertisements

Sunday, August 2, 2015

MECHI YA STARS UNITED NA ALL AFRICAN STARS MPAKA DAKIKA 90 MAMBO NI 5-5


 Kutoka kushoto ni Dullah , Mundo na Mo Bilal wachezaji wa Stars United wakitafakali jambo kabla ya mechi
 All African Stars wakipata picha ya pamoja.                       
Stars United wakipata  picha ya pamoja.
 Kifaa cha Stars United Elvis Mnyamuru akijaribu kumiliki mpira.
 Mmoja ya wachezaji wa All African Stars ya Atlanta akiwa chini baada ya kuchezewa rafu huku wachezaji wa Stars United.
 Mchezaji wa All African Stars (kulia) akijaribu kumtoka Edgar mmoja ya mchezaji wa Stars United
 Mchezaji wa All African Stars (kulia) akijaribu kuwatoka Elivis (mwenye rasta) na Edgar
Kwa picha zingine bofya soma zaidi



No comments: