ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 8, 2015

Mwamvita Makamba aumbuliwa mchana kweupee na X-bestfriend ake!

Ile nyumba ya kifahari ambayo ilifunguliwa kwa maulid. shambra-shambra, na mbwe mbwe za hali ya juu tukiaminishwa kuwa ni yake kumbe mmmh! Jisomee mwenye hapo chini:

Ujumbe kwa wasichana na wadada wa Kitanzania: Ridhika na ulicho nacho. Msipende kuiga maisha ya IG wengi wanaishi maisha ya kufoji hayana huwalisia wowote. Na wale wadada ambao mnakatishwa tamaa na hizi fake life somo hili hapa! Wanasema ukiona vya elea juwa vimeundwa! Tatizo si kuelea tatizo ni nani aliye viunda?! Sasa nibora ujiundie vyako kwa mikono yako ili uwe na huwakika kuwa muhunzi ni wewe!!


Kama ukiwa umebahatika kuwa na wazazi waliokuandalia maisha yako(waliwekeza kwa ajili ya watoto wao na wajukuu) kama akina fulani basi shukuru Mungu na enjoy life utakavyo. Lakini tamaa ya maisha ya kifahari wakati kwenu patupu kama mimi ndo mtaendelea kuumbuana kama hivi!!

7 comments:

Anonymous said...

Uswahili mtupu.

Anonymous said...

Hana tofauti na kaka yake, duh

Anonymous said...

Nonsense.

Anonymous said...

Wanawake huko bongo kazi mnayo kwakweli,wacha sie tuendelee kugeuze vizee vyetu huku nursing homes,na magari yetu ya payment plan,nyumba zetu za kulipia mortgage every month,kwa raha zetu,mtabakia kutusema hoo mara tuna stress za kubeba mabox,tuacheni tuyabebe tu,nyie endeleeni na mashauzi yenu huko na serikali yenu corrupted

Anonymous said...

Like sister like brother,uswahili.com

Anonymous said...

Umeongea point anonymous wa 8:22...Bongo pamechafuka...wacha tugeuze vizee..na real life letu..cyo kuigiza..na kuibiana wanaume.

Anonymous said...

nyie mnaogeuza vizee nanyi mna tabu kweli. Ila bakini huko huko. Bongo ndio kama muionavyo na wababe wanafanya mbinu zote wabakie na ulaji na kutuharibia vibinti na dada zetu kwa hela wanazotupora sisi wenyewe. So bad.