Kwani huyo ni mtoto wa Nasibu, Nasibu hana uwezo wowote wa kupata mtoto. Zari ni mke wa mtu, hivyo ni moja kwa moja ni mtoto wa mume wake. Zari ana uwezo mkubwa sana kuliko Nasibu, na amemzidi kwa kila kitu. Sasa kaka yangu Nasibu ulimbukeni ndio unamsumbua.
Uliza wanawake wote waliowahi kuwa marafiki wa Nasibu akina Wema, Jokate na wengine wote, watakuthibitishia kuwa Nasibu sio mwanaume, hana uwezo wowote wa kupata mtoto.
Kusema ukweli hii story inaweza kuwa na ukweli kwani huyu jamaa na pesa na umaarufu alioupata ghafla bongo angekuwa na watoto kibao anasupport bongo lakini hana hata mmoja. kuna madada waliowahi kuwa naye walisema hakuweza kuwapa kitambi muda wote huo. Na madada wa kibongo ni wajanja sana labda walikuwa wanaombea kitambi lakini wapi.Huyu mganda anaonyesha ni mjanja Zaidi ya njemba ili linawezekana kuwa ni ukweli kwamba jamaa ni baba wa kufikia lakini siyo wa kwanza takwimu zinaonyesha bongo kuna mababa wa kufikia wengi sanaila huyu kwa umaarufu wake ndiyo jamii inafanya kama ni kitu cha ajabu kutokea yeye siyo wa kwanza na hatakuwa wa mwisho.Unajua kisayansi waweza kuwa unakutana na wanawake kumbe hauna mbegu ana ni dhaifu ama zina itilafu. Ushauri wangu jamaa amlee motto na motto siku zote atamtambua yeye kama baba na aashe kusikiliza ya pembeni yanaweza kubomoa mapenzi yao.
Guys mind your own business. Get out of other people's life.Tanzania niya ajabu.tumekuwa taifa la kupenda mipasho,majungu,vinenoneno ,Gossips Men & Women.Spend too much time kufuatilia issues za watu badili ya kufikiria namna ya kutafuta pesa.
Inaelekea wenye hizo negative comments hamjaenda shule, au hamkusoma sayansi.i.e.BIOLOGY. Diamond akiwa na hofu kuwa siyo mwanae, ipo what we call DNA Test which can be performed. Nyie mnaokasirika kwa nini Diamond amezaa, basi muendelee kulia na upumbavu wenu. Kama mlilala na Diamond na kushindwa kuzaa naye, jee? hao wanaume mnaoenda nao sasa wamewazalishia watoto? Labda ndiyo nyinyi mnayo kasoro! Ok, watoto wote wa Zari na mumewe wa zamani ni older than 7 years. Ni mapenzi ndo yalimfanya Zari amkubalie Diamond kumzalishia another kid. Too bad for all the haters!!!
7 comments:
Inahusu nini jamani
Wenyewe hawajakanusha
Wambea ama kweli
Kiislam kitanda hakizai haram
Na u kweli anaujua Zari na diamond
Fungeni midomo yenu

Labda ni picha ya zamani who knows
Duh hii kazi kwelkwel binadam bwna mapenz yao yawe ya kuigiza yawe real jmn si ya kwao? So shut up and get served
Post a Comment