Nyleptha akipozi katika picha siku ya Jumamosi Aug 1, 2015 nyumbani kwao Landover, Maryland alikofanyiwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa alipotimiza miaka 10.
Familia ikiwa katika picha
Picha ya pamoja familia ndugu, jamaa na marafiki.
Makulaji yakiendelea.
Wakati wa keki.
Mzee George Sebo katika pozi na mjukuu wake.














No comments:
Post a Comment