ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 27, 2015

RAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA ZIMBABWE NA KUONANA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence 
Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala
walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015

Rais Jakaya Mrisho kikwete akioneshwa na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB) Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD 
ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
leo Agosti 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB) Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD 
ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
leo Agosti 27, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kuongea na Balozi wa Uturuki nchini 
anayemaliza muda wake Mhe Ali Davutoglu aliyefika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015

No comments: