Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari
Taarifa za siasa kwa sasa zimekuwa ni nyingi sana karibu kila siku lazima kutaibuka story mpye leo kuna hii ya mwanachama mwingine wa Chama cha Mapinduzi CCM katangaza kukihama chama hicho.
Mwanachama huyo ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ambaye leo ametangaza kukihama chama chake hicho, huku akitoa sababu za kutokuwepo kwa Demokrasia ya kweli ndani ya CCM na ametangaza kujiunga na CHADEMA.
7 comments:
Go ahead and join your fellow corrupt leaders. By the way, you have benefited more than CCM has benefited from you. We put your name on the map and Sir, nobody knew you before, so stop the nonsense of dissing CCM. You must thank CCM chairman, his excellence President JK, for making you famous (deputy minister). Your are NOT a LOSS to CCM, because you are of no significance value to the party, beside wanting to make the name for yourself. Pack up and go, so that we fill your position with somebody else, who is worth it!
Kimbia Baba tena usiangalie nyuma ccm siyo Baba wala mama yako.
Karibu kwetu Mkuu achana na hao ccm walioishiwa demokrasia. Hakikisha unaleta wafuasi wangu tushinde kwa kishindo.
Hivi huyu jamaa ni doctor wa mifugo, binadamu au wa philosophy? Sioni hata anafanana na yupi kati ya hawa. Au ndio mmoja wa wale mafisadi wa elimu Tanzania? Unasubiri kushindwa kwanza kura za maoni ndio unahama chama kwa kisingizio kwamba chama hakina demokrasia ya kweli? Who told you democracy means you must win elections?
Hahahahaha! mdau inaelekea ulikua na hasira na Mahanga eeh? sounds like you are fed-up hahhah!
He's my uncle but I conquer with you on this! what you said is absolutely 100%true!
Mali katapanya na vimada hana chochote zaidi ya hiyo nyumba anayo ishi mkewe ya Segerea! One of the most crazy husbands and fathers in the world!
Alihaidiwa uwaziri na Lowassa 2yrs ago. Yani alimwambia asipo pata ubunge wa kugombea atampa wa viti maalum halafu amchague waziri. (This is seriously true siyo uwongo) ndo maana unaona kahamia Chadema kwasababu ya Lowasa. ni mabest na Lowassa usipime! Sasa naona Lowassa akishinda UKAWA na yeye kuwa CCM hatoweza kumpa uwaziri. Inabidi amfuate Lowassa kokote atakapo kwenda! Kwa ajira ni adimu na biashara ni ngumu! Hahaha! Ngoja ni nyamaze Dj Luke asije kunishtukia bure ee hahahahaha!
Thanks for making my nigh!
TATIZO LANGU NI PALE TUNAPOICHUKIA CCM, YAANI WAKATI WOOTE TULIKUWA WAUMINI WA CCM, HADI TUKISHINDWA UCHAGUZI AMBAO NDIO DEMOKRASIA YENYEWE NASI TUNABWAGA MANYANGA. JAMANI, HIVI NI KWELI, TUMEZALIWA KUWAONGOZA WENZETU TU?? YAANI SISI SI WAKUONGOZWA NA WENZETU, ?HUO NDIO TUNAITA UKIRITIMBA WA SIASA
Hahahahaa! Umenochekesha sana mdau.... ana Phd in Accounting
Post a Comment