ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 13, 2015

STREET PASTOR A WASILIANA MJINI WASHINGTON DC.

Street pastor au mchungaji mtarajiwa Emmanuel Mgaya au Masanja Mkandamizaji amewasili jijini Washington DC nchini Marekani leo mida ya asubuhi tayari kwa ajili ya kuhubiri neno la Mungu katika mkutano wa injili unaotarajiwa kuanza kesho katika kanisa la The Way of The Cross Gospel Ministries. Masanja alipokelewa na wenyeji wake ambao ni Pastor Ferdinand Shideko na Samuel Malonja ambae ni music director katikati kanisa hilo, angalia picha kuona tukio la kuwasili kwake. 


Masanja na mwenyeji waki baada ya kumpokea airport.
Mwendo wa ukodak tu


6 comments:

Anonymous said...

Mchungaji au mchungwa cheki bob wa mjini na sio streeet. For bizness!!!

Anonymous said...

Mbona anapiga picha na magari za watu??

Anonymous said...

Mangi umerudi tena karibu ujisikie uko nyumbani arawa

Anonymous said...

Mdau wa pili ulitaka apige picha na magari ya mbuzi

Julius Butindi said...

Namkumbuka Ferdinand Shideko alikuwa Mwalimu wangu Shule ya Msingi Ngogwa Kahama. MUNGU ni mwaminifu kila hatua

Julius Butindi said...

Namkumbuka Ferdinand Shideko alikuwa Mwalimu wangu Ngogwa Shule ya Msingi Kahama Shinyanga. MUNGU ambariki anapoendelea na utumishi wake huko ng'ambo