Moja ya shehena ya zao la pamba zaidi ya tani 12 zikiwa ziwekiwa maji na mawe ili kuongeza uzito kwenye mzani wa pamba kwenye kiwanda cha nida wilayani kahama ambapo zaidi ya tani tatu za mawe zilikutwa kwenye pamba hiyo .
Haya ni baadhi ya mawe yalikutwa kwenye pamba ambayo imetokea wilya ya igunga mkoani Tabora ambapo kulikuwa na kila moja jiwe likuwa na kilo kumi mpaka ishirini .
Moja wa wapangazi wa wa zao la pamba katika kiwanda cha nida kitoa maelenzo juu ya jinsi alivyoshangaa kuona mawe kwenye pamba makubwa kiasi hichi .
Pamba ambayo imetiwa mji na mchanga na mawe ikiwa chini kabla kwenda kuchambuliwa kwenye mashine .
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kuchambulia pamba cha nida wakiangali mawe yalitolewa katika magunia ya pamba katika kiwanda hicho .
Moja wa Raia wa kiasia akiangali mawe yakiwa juu ya pamba baada ya kufunguliwa kwa magunia hayo ya pamba .huku mtumiwa wa pamba hiyo akiwa amevalia koti .
Wakala wa zao la pamba katika kampuni la Nida wilayani kahama Jakson marwa akionyesha wana habari mawe ambayo yamepatikana kwenye gari lake akiwa kama msimamizi wa manunuzi wa pamba hiyo .
Mkurungezi wa Nida Muhammad akbar akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake juu ya uchafuzi wa zao la pamba ambalo linatokana na wakala na siyo mkulima.
Mkanguzi wa zao la pamba wilayani kahama Emmanuel kileo akiongea na waandishi wa habari juu ya uchafunzi wa zao la pamba ambalo ni kosa la jinai .
Haya ndiyo mawe tani 3 yalikutwa kwenye pamba tani kumi na mbili kwenye kiwanda cha Nida wilayani kahama moja wa wafanyakazi akionyesha RUDO LA MAWE HAYO .
Picha na Mohab Blog
3 comments:
Ilani ya CCM
Kila Mtu kula kwenye anga zake
HAYO NI MAKUBWA KWA KWELI
Utapeli haufai watanzania jamani kama alivyotapeliwa Dk slaa wamemfanyisha kazi mzee wa watu usiku na mchana kumbe wakimtumia tu masikini kumbe walikuwa wana mtu wao watu upinzani pekee ndio wanawoweza kufanya upeli wa kijinga kama huo wa kuweka mawe kwenye pamba kwa sababu ni taasisi ya kifisadi inayoongozwa na fisadi.
Post a Comment