Advertisements

Monday, August 31, 2015

Waumini wakatoliki wa DMV waadhimisha ibada ya misa ya Kiswahili Baltimore Md.

IMG_9991Padre Honest Munishi akiongoza ibada takatifu ya misa ya Kiswahili ambayo hufanyika mara moja kwa mwezi katika kanisa katoliki la St.Edwards huko Baltimore Md Jumapili Agosti 30,2015. IMG_9954Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki DMV Bw.Pius Mutalemwa na mama Mutalemwa wakifuatilia ibada hiyo. IMG_9952Mrs.Kessi na mwanae wakifuatilia ibada.
IMG_9956Bernadeta Kaiza akiongoza kwaya kwaya ya watoto. IMG_9975Bw.Stanley akifuatilia ibada hiyo. IMG_9977Bi.Aireen na wanawe katika ibada. IMG_9988Katibu Dan Stephen akitoa matangazo. IMG_9998Bw.Patrick Kajale akitoa mwaliko wa Tamasha la Kiswahili "Swahili Fest". IMG_9995Empress Elinita Mhando na mwanae Ernest Simba Shomari wakiwa kwenye ibada. IMG_0015Bw. na Bi. Shomari wakiwakilisha. IMG_9986Brian akitwanga kinanda. IMG_9981Mdogo wa Brian akiwa kwenye ngoma.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

No comments: