ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 15, 2015

ARRIVAL TREE




Hapa ni kwenye uwanja wa ndege wa Kismayo nchini Somalia. Badala ya chumba maalum cha wageni wanaowasili, uwanja huu una mti ambao wageni waliowasili wanapumzika kabla ya kwenda makwao au hotelini. Unaitwa "mti wa wanaowasili" --"Arrival tree".

No comments: