ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 27, 2015

ASYA IDAROUS KHAMSINI AFANYAONESHO LA VIVAZI PANAFEST SILVER SPRING, MARYLAND.

Gwiji la mitindo kutoka Tanzania Asya Idarous Khamsini akiwa kwenye tamasha la Pan African lililofanyika katikati ya mji wa Sliver Spring siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015. PICHA NA VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTION.
Asya Idarous Khamsini akiwa na walibwende wake katika picha ya pamoja.





No comments: