ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 27, 2015

PAN AFRICAN FESTIVAL YAFANA SILVER SPRING, MARYLAND

Bendera za nchi za Afrika zikiwakilisha kwenye tamasha la Panafest lililofanyika siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015 Downtown, Silver Spring, Maryland na kuhudhuriwa na watu kutoka mataifa mbalimbali. PICHA NA VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTION
Mamiss Afrika waliohudhuria tamasha hilo akiwemo mshindi wa pili wa miss Tanzania USA Aziza Gama (kati) wakitambulishwa kwenye kadamnasi iliyokuwepo kwenye tamasha hilo la aina yake lililofanyika katikati ya mji.
Haririet Shangarai ambae ni mmoja ya waandaaji wa tamasha Panafest lililohudhuriwa na umati wa watu.
Kibanda cha mama mitindo Asya Idarous.
Kibanda cha Mtanzania Msia Kibona akiwa kwenye Tamasha hilo.
Baadhi ya Watanzania wachache waliohudhuria tamasha hilo.









No comments: