ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 27, 2015

MR TZ APEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA TAMASHA LA PANAFEST DOWNTOWN SILVER SPRING

 Mr. TZ akifanya makamuzi ya nguvu kwenye tamasha la Pan African lililofanyika siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015 Downtown Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu kutoka mataifa mbalimbali.
 Mr. TZ akifanya vitu vyake.
Mr. TZ akipeperusha bendera ya Tanzania
Umati ukifuatilia makamuzi ya Mr. TZ
Mwimbaji wa nyimbo za injili DMV Rose Kachuchuru (nyuma ya binti yake kushoto) akifuatilia tamasha

No comments: