Kushoto ni Mzee Zuberi akiwasilisi kwa ajili ya kisomo cha mdogo wake kilichofanyika siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015 Silver Spring, Maryland wengine katika picha ni Milanga (kulia ) na Joseph Mzanila. PICHA NA VIJIMAMBO/KWANZA PRODUCTION
Kulia na Mzee Zuberi akiwa kwenye kisomo cha mdogo wake Abu Twalibu Zuberi kilichofanyika siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015 Silver Spring, Maryland. Mwingine katika picha ni Bwn Abbas Missana ambaye ni Afisa Ubalozi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Kati ni Adolph Mutta Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada akiwa kwenye kisomo cha mdogo wake Abu Twalibu Zuberi kilichofanyika siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015 Silver Spring, Maryland. Wengine katika picha ni Ally Tumbo (kushoto) na Joseph Mzanila.
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye kisomo cha Abu Twalibu Zuberi kilichofanyika siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015 Silver Spring, Maryland.
Alli Mohamed mwenyekiti wa Jumuiya wa Waislamu DMV(TAMCO) akiwaasa Waiislam na Watanzania waliohudhuria kisomo cha Abu Twalibu Zuberi kilichofanyika siku ya Jumamosi Septemba 26, 2015 Silver Spring, Maryland.
No comments:
Post a Comment