Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akishangilia na Kelvin Yondan (kulia) baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Simba uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Simba.

Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia gori
Mshambuliaji wa Simba, Mwinyi Kazimoto (kushoto) akitafuta
mbinu za kuwatoka wachezaji wa Yanga, Salum Telela na Haruna Niyonzima wakati wa mchezo wa Liku Kuu ya Soka Tanzania
Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment