AZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa
Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu
leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa
Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu
leo Jijini Dar es salaa kwa mazungumzo ya kikazi.
No comments:
Post a Comment