Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto
mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani Mkala akipokea
Cheti cha Usajili wa Chama hicho kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati
wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo
ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti
cha usajili Bw. Bahatisha Selemani Mkala
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya madereva ambao ni wanachama wa chama hicho mara baada
ya kukabidhiwa cheti hicho katika Ofisi za Msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam jana.
(Picha na Benjamin Sawe)
No comments:
Post a Comment