Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd Mwesige Michuruza akizugumza na wanahabari hawapo pichani juu ya fainali ya shindano la “Valeur Comedy Nights” ambalo ni shindano la kusaka vipaji vya sanaa ya uchekesaji. Fainali hiyo itakayofanyika 3 Oktoba mwaka huu Hongera Baa, Sinza jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Vuvuzela Company Ltd Evans Bukuku.
Afisa Habari BASATA Aristides Kwizela akisisitiza jambo katika kikao hicho kulia ni Meneja mauzo na usambazaji Tanzania Distilleries Ltd Mwesige Michuruza
Washiliki wa shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja na waandaaji wa shindano la “Valeur Comedy Nights” leo jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment