Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Udongo kwenye kaburi la
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina
Kombani wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo shambani kwake katika kijiji cha Lukobe mkoani Morogoro. (Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua kwenye kaburi la
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina
Kombani wakati wa mazishi yake yaliyofanyika shambani kwake katika kijiji cha Lukobe mkoani Morogoro.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka
Shada la maua kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
na Mgombea Mwenza wa Urais CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Shada la maua
kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
marehemu Celina Kombani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Bw. Hamadi Pungurani Mume
wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
marehemu Celina Kombani Baada ya kumalizika mazishi yake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Watoto wa aliyekuwa Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani
Baada ya kumalizika mazishi yake yaliyofanyika shambani kwake katika kijiji cha Lukobe mkoani Morogoro.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu Pinda wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina
Kombani.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika mazishi ya aliyekuwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina
Kombani.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina
Kombani wakati wa mazishi yake.
1 comment:
Magufuli mbona hayupo hapo
Post a Comment