ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 20, 2015

Flashback Pride Fm Sept 20 2015 na Mubelwa Bandio

Photo Credits: lostpedia.wikia.com
FLASHBACK ni kipindi kutoka PRIDE FM Mtwara Tanzania,kinachokupatia fursa ya kusikiliza miziki iliyotamba katika miaka iliyopita.
Kipindi hiki hutayarishwa na kutangazwa na Mussa Yusuph kila Jumapili kuanzia saa nane kamili mchana mpaka kumi kamili jioni kwa majira ya Afrika Mashariki.
Wiki hii (kama ilivyokuwa kwa wiki mbili zilizopita), kipindi kimetayarishwa kutoka KILIMANJARO STUDIO zilizopo Beltsville MD na Mubelwa Bandio KARIBU

No comments: