ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 20, 2015

Flashback ya Pride Fm Sept 13 2015 na Mubelwa Bandio na DJ Luke Joe

Photo Credits: lostpedia.wikia.com
FLASHBACK ni kipindi kutoka PRIDE FM Mtwara Tanzania,kinachokupatia fursa ya kusikiliza miziki iliyotamba katika miaka iliyopita.
Kipindi hiki hutayarishwa na kutangazwa na Mussa Yusuph kila Jumapili kuanzia saa nane kamili mchana mpaka kumi kamili jioni kwa majira ya Afrika Mashariki.
Wiki iliyopita (kama ilivyokuwa kwa wiki iliyotangulia), kipindi kilitayarishwa na kutangazwa toka KILIMANJARO STUDIO zilizopo Beltsville MD na Mubelwa Bandio na mgeni wa wiki, alikuwa Dj Luke Joe
KARIBU

No comments: