Missy T wa Kwetu fashion akinesanesa kwenye Jukwaa siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 siku ya kuadhimisha Swahili Fest iliyoshirikisha nchi zote Afrika Mashariki chini ya wanaandaaji Patrick, Seif Ndossa, Amri Mariyatabu na Frank Kajale.
Missy Temeke na Patrick Kajale (kati) wakiwa katika picha ya pamoja na walimbwende waliovaa nguo zilizobuniwa na Kwetu Fashion.
No comments:
Post a Comment