Chenga zinazoonekana hapo chini ni vioo vya gari ambao huvunjwa na nwahalifu pale wanapoona kuna matumaini ya kupata chochote au wamekiona kitu kimewachwa ndani ya gari, kama GPS, wallet, laptop na vivutio vyengine, uhalifu huu upo katika state nyingi, hii imekutwa na kamera yetu ya vijimambo ndani Washington DC. tusijaribu kuacha vitu vya thamani ndani ya magari
Picha ya juu na chini ni pikipiki iliofungwa na myororo madhubuti ili isiibiwe, wahalifu walipoikosa kuiba yote nzima waliamua kuondoka na tairi ya mbele, kamera yetu iliikuta pikipiki hiyo North West Florida Ave Na 15th St washington DC
No comments:
Post a Comment