ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 23, 2015

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAPATIWA MASHINE YA MATIBABU YA MOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk Hussein Kidanto (kushoto) akipokea mashine za matibabu ya kufuatilia mwenendo wa mapigo ya moyo kutoka kwa Mwenyekiti wa taasisi ya Human Welfare Trust, Gulab Shah, kwenye makabidhiano ya mashine hizo zilizotolewa ikiwa ni msaada kutoka kwa wanachama wa taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni wanachama wa taaisi hiyo

2 comments:

Anonymous said...

hivi tutakuwa watu wa kupokea na kupewa misaada hata midogo midogo mpaka lini?.hivi kweli V8 moja anayotumia mkurugenzi au waziri au mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa au kamanda wa polisi au katibu mkuu HAIWEZI KWELI kununua hizi machine??dah so sad.

mdau
texas

Anonymous said...

Kwanini tunashindwa kuwa na bajeti ya kununua mashine hadi tuwe tunapewa token (misaada midogo midogo). Kwanini tusiwe na mipango kamambe ya kuimarisha huduma mpaka tupewe vitu vidogo vidogo vya kuomba omba???