ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 19, 2015

Kongamano la Wajasiriamali Wanawake Nchini lafana


Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).wa kwanza kushoto ni Meneja Msaidizi wa Mfuko huo Bi Matilda Nyallu
Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Mfuko waMfuko wa Pensheni wa PSPF wakiwa katika Banda la Mfuko huo wakatikatika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchinikabla yauzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana), wa kwanza kulia ni Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi akizindua Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) katika Kongamano la Wanawake Wajasiriamali nchini lililofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Rais wa VoWET nchini Bi. Mahida Waziri
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi akizindua Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) katika Kongamano la Wanawake Wajasiriamali nchini lililofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Rais wa VoWET nchini Bi. Mahida Waziri
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi akimlisha keki Rais wa VoWET nchini Bi. Mahida Waziri katika Kongamano la Wanawake Wajasiriamali nchini mara baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania. (Picha na Benjamin Sawe)

No comments: