ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 17, 2015

KWA KIFUPI HAPA NI KAZI TU!!!!


KUNA UVUMI UNAENDELEA MARA OOOH MRS MAGUFURI KAMTENGA MUMEWE,AJISHUGHURISHI NA SIASA NA MENGINE MENGI DSASA HEBU CHEKINI HIZI HARAKATI NA MTAFUTE KINGINE CHA KUMSINGIZIA!! KWA KIFUPI HAPA NI KAZI TU!!!!

2 comments:

Unknown said...

Ukawa uongo na uzushi ni mtaji wao mkubwa wa kampeni kwa sababu hawana sera

Anonymous said...

safiii mrs. barikiwa sana. ushindi ni wenu