Majibu kwa dukukudu kuhusu kura ya maoni ya Uchaguzi Mkuu ya TWAWEZA
Majibu kwa Dukuduku Kuhusu Utafiti Wa Kura Ya Maoni Wa TWAWEZA by Evarist Chahali
2 comments:
Anonymous
said...
Asante maoni haya ni feli yanavyoonekana hata walengwa si hao tu. Time ya Uchaguzi na bosi mh. Lubuva, tunachoona hapa ni majuzi tu umebadilishiwa watendaji na kuletewa wapya! Jili ni jambo la kushangaza na wasiwasi umeshaanza kuwaingia waTanzania na wapiga kura wote kuwa hapo kina njama! Kinyume cha hapo ni Mh. Rais atengue timu mpya aliyoleta!! haikuwa na sababu zimebakia siku chache na kubadili timu kwani nini kinachoogopwa hapa kama sio njama za bao mkononi?!! WaTanzania bado wanathamini utulivu, sivyo ninyi mlioko humo ndani mnachochea moto. Amani. Amani itawale haki ikitendeka. Amani Amani .Tanzania kwanza siasa baadaye. Mungu tubariki.
Naona haya mambo ya kura za maoni si jadi yetu.Tumeshuhudia polls zikifanyika ktk nchi nyingi, ie mpaka sasa nchini Marekani kuna taasisi nyingi zinatoa polls kuhusiana na uchaguzi ujao.lakini sijaona eti watu wanasimamisha shughuli zao kwenda kupinga matokeo ya opinion poll.

Post a Comment