Islamic Center Mosque ni moja ya msikiti mkubwa ndani ya washington DC, nje ni baadhi ya waumini wakiwa wamemaliza sala ya eid
Nje ya msikiti waumini wakisikiliza hutba ya sala ya eid ilisaliwa hapo katika msikiti wa Islamic Center, Washington DC
waumini wakiwa na sura za furaha wakipata picha za kumbukumbu baada ya sala ya eid katika maeneo ya nje ya msikiti wa Massachusset Avenue, Washington DC
Familia hazikuwa nyuma katika kipiga picha katika siku hii adhimu, siku tukufu, baada ya mahujaji kukamisha nguzo ya tano ya uislam, tunawaombea Mungu awatakabalie hija zao
1 comment:
swallah Allah,Allah Muhammad swala Allah Allahim wasalaam.ummati Muhammad Allah akujaliyeni mshikamano daima na muwe wacha mungu siku zote si siku ya eid peke na ramadhan.waislamu wote ni ndugu.akuepushiyeni kila shari na husda amin.
inapendeza na kusisimuwa kuona jinsi mlivyo kusanyika katika salaa ya eid.nakutakiyeni eid Mubarak nyote na waislamu wote popote pale mlipo.
swallah Allah,Allah Muhammad swala Allah allahim wasalaam
Post a Comment