ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 19, 2015

MBENE AENDELEA NA KAMPENI IMBO LA ILEJE MKOANI MBEYA

Mh Janet Mbene akicheza kwaya na wakazi wa Kata ya Kapelekesi wakati wa mikutano yake ya kampeni katika kata ya ileje
Mh Janet Mbene mgombea Ubunge jimbo la Ileje akiasalimia na wakazi waisongole wakati akiwa njiani kuelekea kata za Bundari wakati wa kampeni za kugombea ubunge wa jimbo hilo.
aliyekuwa mgombea ubunge katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi Marcelin Ndimbwa akimnadi mgombea ubunge wa ubunge wa ccm Janet Mbene

No comments: