Msanii wa nyimbo za Injili, Emanuel Mbasha, Munde akiwa amepiga magoti huku akilia kwa furaha baada ya kushinda kesi ya ubakaji katika mahakama ya Wilaya
ya Ilala jijini Dar es Salaam.(Picha na Francis Dande)
Emmanuel Mbasha akitoka katika chumba cha mahakama huku akilia kwa furaha baada ya kushinda keshi ya ubakaji.
4 comments:
What's behind this act? Did he expect to serve some jail time because he actually did commit the crime or is it because defending the case was so onerous that he almost lost any hope of winning the legal fight?
Shukuru sana ex wife wako yupo ukawa
Na serikali ya CCM wamekuachia
Ili ukandie ukawa
Lakini kama ex wako angekuwa CCM ungenyea debeni
Bwana yesu asifiwe na mungu azidi kukulinda kaka mbasha ,na DJ LUKE ebu tuwekee karatasi za wale wakulima wa tumbaku wa hapa MVD walivyo tupiwa kesi yao ,na muandishi wao wa habari bonge nyanya kazimika ghafla sijui kibarua kimemshinda au ajapewa sinia la pilau jamani usiku mwema DJ LUKE NAKUPENDA ADI KUMOLI .
Umenena mkuu. Hio kesi siasa tupu.
Haukawi kumsikia mbasha akimkampenia
Magufuli...
Post a Comment