ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 30, 2015

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK

 Abubakary katikati kutoka Russia akiwa New York likizo akiwa na rafiki zake kushoto kwake ni Amos wakipata ukodak maeneo ya times square.
 Hapa 6th Avenue Abubakary akiwa na Roja katikati na kulia na Amos wakipata ukodak wa kumbukumbu kabla kurudi masomoni Russia.

No comments: