ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 18, 2015

SAFARI YA MATUMAINI


6 comments:

Anonymous said...

Guys you gotta stop this lol!

Anonymous said...

Midahalo ya wabunge tu CCM wanakimbia kule Azam TV hata kunusa tu hawaendi tokea umeanzishwa sasa huu wa Rais mbona wanautolea sana macho, Kuna nini haswa kwa hili la kushupalia mdahalo wa wagombea urais tu.???? Ndugu muandishi naomba uwe unatuwekea clip za midahalo ya wabunge watarajiwa na wale wanaopambana kurudi mjengoni kama itawezekana...
Kila la kheri

Anonymous said...

Usitake kubadili hoja hapa. Tunataka mdahalo wa wagombea urais ili tuweze kuwaelewa zaidi na kuamua nani tumpigie kura.

Anonymous said...

Hakuna mdahalo hapa mbona Jakaya aliukimbia 2010

Wetu Lowassa tunasubiri kuapishwa
Ona hata kwao magufuli hawamtaki
Mtaisoma ccm mwaka huu

Anonymous said...

CCM Oyeeeeeee!!!!!!!! na Ikulu tunaingia Octoba 25, 2015

Anonymous said...

Kama sababu ni kuwa Jakaya aliukimbia 2010 basi tuambieni ukweli kama na Lowassa anataka kuingia mitini ili tujue badala ya kutaka watu wengine kushiriki kwenye mdahalo usio wahusu!