ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 24, 2015

TANAGZO LA IBADA YA KISWAHILI



                                                         

IBADA YA KISWAHILI KANISA KATOLIKI                    DAYOSIS YA CLEVELAND EAST
                         
               
                        KARIBUNI
Wapendwa wakristo mnkaribishwa kushiriki sherehe ya kutimiza mwaka mmoja wa ibada ya Kiswahili kanisa letu Katoliki Dayosis ya Cleveland. Ibada itaanza saa kumi jioni, na baada ya ibada kutakuwa na chakula na vinywaji, pia kubadilishana mawazo.
Ibada hii itafanyika;
St Adelbert Church
East 83 Street,
Cleveland Ohio 44103
Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa simu zifuatazo;
Father.  F. January 216 650 2734
Father Rogerio.  267 206 2613  

Tumaini.  216 645 5171

No comments: