Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha WaTanzania Wote
katika Sherehe za Eid El Adha’ kuadhimisha Kukamilika kwa Ibada Ya Hajj iliyofanywa na Mahujaji Wetu huko Makkah.
Thursday September 24, 2015
(in shaa Allah)
1. Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El Eid
Kuanzia Saa Nne Asubuhi – Saa Saba Mchana
10AM-1PM
&
2. Sherehe za Eid Jioni - Picnic (Cook out)
Kuanzia Saa Tisa Jioni - Saa Nne Usiku
3PM-10PM
Pilgrim Hills Local Park
1615 E. Randolph Road
Silver Spring, MD 20904
Tutakuwa na Hall Kwa Siku Nzima from 10AM to 10PM (Tuwe huru kuja na Kubaki kwa watakaotaka)
Tafadhali Njoo na Viti vya kukunja (picnic chairs kwa Shughuli ya jioni)
Tunahitaji Misaada toka kwa Akina Baba na Akina Mama kufanikisha Shughuli Yetu, Tafadhali Wasiliana na Waandalizi kwa Msaada wowote :-
Ali Mohamed 301-500-9762
Jasmeen Rubama 410-371-9966
Nargis Mohammed 240-605-9071
Shamis 202-509-1355
Asha Akida 240-899-0107
Asha Hariz 703 624 2409
Asha Nyanganyi 301-793-2833
Asha Nyanganyi 301-793-2833
1 comment:
eid Mubarak wana dmv wote nakupendeni sana , wa los angeles,texas,atlanta,new york na marekani kote na duniani kote.
asha hariz naomba kukuliza wewe ni mtoto wa gerezani dar.
na vijimambo team mnaosherehekea hii skukuu nyote nakutakiyeni eid Mubarak.ibra mamboz mkuu.
Post a Comment