Mr and Mrs Nyango'oro wanasikitisha kutangaza msiba wa baba mzazi wa Julie Nyang'oro uliotokea 09/17/2015 huko nyumbani Moshi. Mipango ya mazishi inafanyiwa na mfiwa anatarajiwa kusafiri kwenda hudhuria mazishi.
Kwa taarifa Zaidi tafadhaki wasiliana na Julie Nyang'oro 614 595 4896 na Metty Nyang'oro 614 226 4216.
Wana mfuko na wasio wana mfuko tunaombwa kwenda nyumbani kwa wafiwa katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
BWANA AMETOA BWANA AMETWAA. AMINA.
No comments:
Post a Comment