ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 27, 2015

Tanzania Muslim Community of Houston Presents Eid El-Hajj BBQ

Tanzania Muslim Community of Houston jioni ya leo ilifanya BBQ Party ya Eid El Hajj kwenye viwanja vya Ray Miller Park katika barabara ya Eldridge , Kamera ya MlongoKihoma Blog ilikuwepoi\ kukupa picha za matukio.

Waumini wakipata Salat Maghrib



Salat Maghrib

Abou with Zaynab

Zaina & Fue


Chef Ally Sued akiwa kazini







































































2 comments:

Anonymous said...

masha Allah mmependeza wana Huston wote na nakupeni mkono wa eid Mubarak. hivi ndo inavyotakiwa.msiiache dini yenu hapa duniani tunapita nia tu tuko safarini.hatujui siku yetu tutakapo itwa na Allah.mtume wetu kipenzi chetu atakuwa na furaha kubwa kutuona ummati wake jinsi tunavyoshikana na kupendana na kusherehekea katika furaha na katika vifoo.
masha Allah ummati Muhammad Allah akujaliyeni kila la kheir na barka tele popote pale mlipo amin.

dj lucas na vijimambo team wote ahsanteni kwa kutuwekea picha hizi na kutuhabarisha kusipo na malipo.Allah atakujaliyeni kila la kheir hapa duniani na kesho akhera. amin.

Anonymous said...

Mashallah.. I am very proud of our Tanzania Islamic community of Houston for bring so many people of different religions together to celebrate EID EL HAJJ, Special shout out to Vijimambo.