ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 20, 2015

TUJIKUMBUSHE TILIKOTOKA

Tujikumbushe tulikotoka, itakuwa inawajia kila jumamosi na jumapili, tutakuwa tunaweka picha na video za matokeo mbali mbali yaliopita,(zamzni) ikwa mashuleni, kijijini, kazini, michezoni, maghafali mbali mbali, maigizo, nyimbo na picha binafsi. tafadhali tutumie kupitia email tujikumbushetulikotoka@gmail.com vikiambatana na maelezo, ili wasomaji na wadau wa vijimambo tuweze kujikumbusha mambo tuliopitia

Hayati Abeid Aman Karume, Hayati Julius Kambarage Nyerere wakiwa na mzee Hassan Nassor Moyo

2 comments:

Anonymous said...

They were wearing nickties those days, this is interesting. I thought walikuwa wakivaa yale ma Mao tsung and Kaunda.

Anonymous said...

September 20, 2015 at 11:22 PM:

Jifundishe historia ya nchi yako; inaonekana umekosa mengi!