ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 24, 2015

UDAMBWIDAMBWI WA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

Jitiririsheee hapa chini yaliyotandazwa kwenye sura za magazeti ya leo.

2 comments:

Anonymous said...

Habari nyingine hazina hata mshiko
Pesa si za kwao zinatuhusu sisi nini
Msituletee habari za ulaya na America
Mtu hata baba yake hamsaidii kujishauwa hata
Akatambe Tandale
Kama anapesa ananunue nyumba Florida, Miami au Monaco
Asiinge kunya kwa tembo

Anonymous said...

wifu wa nini wewe unakuwa kama demu au demu? kula limao wewe. diamond dangote na zari ndo habari ya mujini kama hupendi usizisome.

unawifu kama demu aliyeachwa na mpenzi wake na kumuona rafiki yake ana tembea na bwana wake.kula limao au saga chupa ukiona wifu haupunguwi.