ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 22, 2015

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MAONESHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI

 Wananchi mbalimbali wakiwa katika banda la Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), katika maonyesho ya siku ya bahari duniani yanayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mtwara Leo, Asubuhi.
  Wananchi mbalimbali wakipewa machapishi na mtaalam wa Mamlaka ya  Usafiri Baharini Zanzibar (ZMA), wakati walipotembelea banda la Mamlaka hiyo leo asubuhi, wakati wa maadhimisho ya siku ya bahari duniani yanayoadhimishwa kitaifa mkoani Mtwara.
(Habari Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikali-Uchukuzi)

No comments: