Saturday, October 24, 2015

ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.


ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.
October 24 2015 ndio ilikua siku ya mwisho ya vyama vya siasa Tanzania kupiga kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao tarehe yake ni October 25 ambapo baada ya kukuonyesha CCM na UKAWA walivyofunga kampeni kwenye post iliyopita, post hii ni ya ACT Wazalendo ambao wamefunga kampeni zao Kigoma.


Zitto Kabwe ndio anaonekana kwenye picha kwenye ufungaji wa kampeni za ACT Kigoma, vilevile Zitto anagombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini na mama Anna Mghwira anagombea Urais.

No comments: